Katiba ni mwongozo wa nchi yoyote duniani,Katika tanzania ya leo wananchi wake wameona umuhimu wa kuwa na katiba mpya.
MASWALI.....moja....Tutatumia njia gani ili kutengeneza katiba iliyo bora ambayo itakidhi mahitaji ya sasa na ya baadae?pili..... tunawezaje kuwashirikisha wananchi ktk kutengeneza katiba hiyo mpya?
tatu....je kila mtu ataridhika na uundwaji wa katiba hiyo mpya?
MAJBU,kuna njia kuu tatu, ya kwanza kabisa ambayo ni kuu ni CUSTOM,hii ni njia kuu ambayo ilitumika kipindi hicho cha kale,ambapo binadamu wa kale hao waliishi kufuatia misingi yao ya kiutamaduni.mfano wa katiba hiyo ni gintile constitution,binadamu aliishi kiutamaduni zaidi,tunaweza kuitumia njia hii lakini haitakidhi mahitaji ya kipindi hiki cha maendeleo
Pili tunaweza kutumia democrasia kuwa fanya wananchi kushiriki kikamilifu ktk kutengeneza katiba yao wenyewe,
Tukitumia njia nzuri zisizo kuwa na mashaka kisiasa tunaweza kuridhika na tukaishi kwa aman na uoendo bila matatizo
Namna gani tunaweza kuwashirikisha wananchi ktk utengenezaji wa katiba hii mpya?njia nzuri isiyo na mashaka kwetu ni kutumia nja ya constituent assemble,hii in njia nzuri kwani wanainchi wanashiriki moja kwa moja ktk kutengeneza mwongozo wao,wanakaa vikao wao wenyewe na kuamua nini kiwepo nini kisiwepo.
Serikali yetu imetumia mabavu ktk kuamua ni njia gani itumike ktk kuwashirikisha wananchi ktk kutengeneza katiba ya nchi,hivyo ikaamua itumie referendum kuvote mawazo yao(viongozi) wananchi wanakuta maelezo ktk makaratasi na kuchagua hiki kiwepo au kisiwepo.
serikali ilitangaza kuwepo na vikao vya kuwashirikisha wananchi kuunda katiba yao.lakini sehemu zilizo tengwa kufanyia hivyo vikao zilikuwa hazikidhi haja kwani zilikuwa haziwezi kubeba umati wa watu wote,hivyo kukwamisha kazi yote hiyo.
bungeni ni sehemu moja kati ya zilizotengwa,lakini umati ulikuwa mkubwa sana hadi kukatokea fujo kubwa,wananchi wakasema viongozi walijua kuwa watu wagekuja kwa wingi kwanini hawakutenga sehemu kubwa?au wanataka kujadili wao peke yao"?
picha za fujo bungeni