Mapenzi ya kibongo hii ni kipengele kinachozungumzia mapenzi ya kibongo kuna uoongo mwingi sana,wapenzi wengi waliopo sasa ktk mahusiani hukutana na vituko vingi sana,wapo wakweli na waongo sana
wapenzi wa kweli hufurahia mapenzi yako mpaka raha hupanga mambo yao vizuri bila kukwaruzana,husameana wakikorofishana,hushauriana vyema
kwa upande wa mapenzi ya uongo haya ni mapenzi yaliojaa uongo,kutokujiamini,kugombana kila kukicha,hakuna maelewano hata ya dakika,hawaonyesheani mapenzi yao,