Tuesday, February 8, 2011

KWANINI WASOMI WENGI HUENDA NJE KUFANYA KAZI

Hii ni kwa watanzania mlio nje ya nchi yetu,tulio baki Tanzania tunajua sababu nyingi zinazowafanya muende nje kufanya kazi na kuziacha nchi zenu ktk hali ya kukosa watalam  na wasomi kama nyie
 SABABU
 Zipo sababu nyingi sana  mfano, umasikini wa nchi zenu,nhi kama Tanzania inawataalamu wengi ambao wapo njee sababu za wataalam hao kwenda huko ni umasikini uliokithiri wa kitanzani,tujitahidi kuuondoa huu umaskini uliokithiri japo kwa asilimia 40 tu
    Serikali mbovu,serikali yetu ni mbovu kiasi kwamba inakuwa haina mikakati madhubuti juu ya swala zima la kuwalipa wageni mishahara mikubwa kuliko wafanyakazi wa ndani hii inawafanya wazawa kujiona hawathaminiwi ndani ya nchi yao ndo huamua kwenda nje kutafuta kazi.
     Uchanga wa taifa letu,ndugu zangu wa nje taifa linajitahid kuwapeleka nje kusoma ,lakini mnachukulia uchanga wa taifa letu kama sababu ya kuwafanya msirudi kwenu kufanya kazi,muwe mnarudi kwenu kuinua uchumi wa nchi zenu
                                          umasikini wa nchi yetu ndo hupelekea wasomi kwenda nje

                                             moja ya jengo la chuo cha udom
      
     

No comments: