Tuesday, February 22, 2011

WATANZANIA MPO

HII NDO TOFAUTI AMBAYO HUNIUMIZA NIKITIZAMA  MAENDELEO YETU NA MAENDELEO YA YAO
kila siku zinavyosogea huwa najiuliza kama nitakuja kushuhudia Tanzania ambayo itakuwa na maendeleo hama nchi zilizoendelea?huwa najiuliza maswali mengi juu ya hii nchi yangu,nawaza tufanyeje tuone maendeleo kama wenzetu?je nitakufa kabla sijaona barabara za juu na chini nchini mwangu,napata huzuni nikiona nchi za wenzetu ziko kama picha inavyoonyesha hapo juu wakati nchi yetu ikiwa  kama picha inayofuata hapo chini yake

  Ni vipi tutafanya ilii tuwe kama nchi zilizoendelea,matatizo yote haya yanaletwa na uongozi wetu mbaya,pia tamaa za madaraka unamkuta kiongozi anamadaraka zaidi ya moja,na hii hupelekea kushindwa kufanya kazi ipasavyo,niaibu kwa Taifa tangu tupate uhuru maendeleo hakuna hata kidogo.

No comments: