Sunday, February 13, 2011

SIKU YA WAPENDANAO

Siku hii ni siku ya historia inayo husu wapenzi wa wili na mapenzi yao,kiukweli siku hii wengi huitumia kuonyeshana mapenzi yao ya dhati mf,A anamtao out B ,kimantiki out hii haina maana kwani mapenzi ya dhati kama yapo kila siku basi yaonyeshe kila siku kuwa unampenda mtu fulani ,sitafurahia kama ndani ya nyumba tunagombana then siku hii inafika nakutoa out, nakupa mazawadi mengi,alafu siku hii inapita kesho yake tunaanza kupigana tena hii haina maana
     kila siku ni siku ambayo unatakiwa kumuonyesha mpenzi wako kuwa unampenda isiwe unanidanganya leo kesho unarudia tabia yako,Siku hii wengi tunaitumia vibaya sana kwani wengi wetu siku hii tunaiweka kama ni siku ya kufanya starehe na wapenzi wetu ,wengine siku hii hupata maumivu kwani huachika na wapenzi wao,wengine hufumania wapenzi wao,
   Cha umuhimu kuja hii ilikuwa ni siku ya huzuni ktk historia ya wapenzi wale wawili duniani kwani huwezi ukasherekea harusi wakati kuna msiba nyumbani kwako tusiwe wajinga WATANZANIA WENZANGU.
     Mapenzi ya dhati yapo tu,hakuna siku maalum  ya kumuonyesha mpenzi wako kuwa unampenda sana kuliko siku nyingine siku hiyo ikipita na mapenzi yanakwisha kabisa.
   Wapenzi hebu fikirieni hilo tunasahau kuwa tunaowakumbuka watu waliokufa siku kama ya leo,vipi tunafanya vitu vingine vya ajabu hii ni siku ya huzuni duniani na si kama tunavyoifurahia baadhi yetu

2 comments:

Anonymous said...

Tunaomba utuonyeshe mfano kwanza wewe
je una mapenzi ya dhati? na unawapenzi wangapi kwa sasa?

WATANZANIA said...

ha ha ha jamani wapenzi niwe na wangapi nina mmoja tu dunia yenyewe chafu