Imesemekana kuwa UMASIKINI wa watanzania haujaanza leo,upo tangu enzi za mababu zetu ,hii ni kutokana na kuwa wazee wetu hawakuwekeza katika ELIMU hivyo watanzania walio wengi hushindwa kujikimu kimaisha kwa sababu hawana ELIMU ya kutosha.
Baadhi ya wasomi wa dunian wamejadili juu ya UMASIKINI na kudai upo umasikini wa
(a)KIPATO
(b)ELIMU
je WATANZANIA tumeandamwa na UMASIKINI wa aina gani?
1 comment:
wengi wetu tunatatizwa na umaskini wa mawazo na fikra za kujenga,hii huwakumba walio na elimu na hata wasio na elimu....
Post a Comment