Tuesday, August 30, 2011

JE UNAWAJUA WADADA WENYE MVUTO TANZANIA?

 Agnes huyu ni mdada wa kipekee ni mzur hakuna

 je wajua kama alishawahi kusema kuwa hawezi kutembea kwa daladala
 kutokana na uzuri wake?kuwa akisimama lituoni kwasababu ya uzuri wake anapata lift?

je wajua ameshagawa penzi kwa watu mmarufu wangapi?wasiokuwa maarufu wangapi?wenye hela wangapi?wasiokuwa na hela wangapi?

je wajua tabia yake ni nzuri na anafaa kuolewa?


sasa anatoka na kijana mmoja ambaye hana hata jina katika nchi hiii,,,,,,,ukweli jamaa anafaidi tunda lililoumbwa vyema na mungu



kama unajua story zake plz wasiliana nasi kupitia comment hapo chini
Dada anaefuatia ni

PRIVA AWAZIA NAMNA YA KUMPATA MWANAMKE ATAKAE MZALIA MTOTO

Napata tabu kuwaza mtoto wangu atakuwaje pindi nitakapo zaa na mama mwenye sura ya kawaida?pia huwaza mtoto wangu atakuwaje nikizaa na mama mzuri,mwenye sura nzuri ,umbo zuri,tabia nzuri,mcheshi,anaejipenda pia mwenye mapenzi ya kweli

cheki baba



vipi kama nikizaa na huyu



na huyu je?

priva now yupo karibu na mtoto Angel




huyu ndie bint anae mchanganya kichwa kijana wetu priva ................watu wa karibu wanadai ni wanapendana vibaya ila ukweli haujafahamika kutoka kwa hao wapenzi wawili Angel na  Priva

Thursday, August 18, 2011

JE UNAWAJUA WADADA WENYE MVUTO TANZANIA?

  wa kwanza ni JACLINE WORPER,,,,,,,Huyu mdada ni wa ukweli kwani ana sifa zake zinazo mfanya aishi hapa town,anakizi mahitaji yake kwa uzur wake




  ,
                SIFA ZAKE
      Ni mrefu wa wastani
      Sio mweusi ni mtoto anang'aa
      Amejariwa tako la kukalia asiumie
      Anangozi nyororo
      Anajipenda sana
      Anachagua wanaume wa kuongea nao na kutembea nao
      Ukiwa na pesa anakuwa rafiki yako
       Anapenda sana kuingiza movie na ndo kazi yake hapa mjini

                 INAVYOSEMEKANA
    Hapa jamani tusilaumiane,
    ..... Inavyosemekana jack anatembea na mdada mwenzake
    .... Inavyosemekana mdada huyu huwa anafulia hadi kufikia kununuliwa vinywaji na wenzake


je wajua mtu gani atafuata baada ya jackline????????????????????