PATA HABARI MBALIMBALI NA MATUKIO,VITUKO,STORY ZA MASTAR WETU,INAVYOSEMKANA MTAANI,,,,,,,,,,,,,,KARIBU
Saturday, December 10, 2011
TANGAZO KWA MODALS WOTE
Kama wewe ni modal na unataka kuajiriwa moja kwa moja karibu ofosini kwetu masaki'.utaajiriwa kulingana na masharti yetu,hatubagui wala hatuna upendeleo wote mnakaribishwa,kwa mawasiliano piga simu no 0712537258 au 0685651518 karibuni wote tunachukua modals wa kila aina wenye vigezo watapewa kipaumbele zaidi
Friday, November 11, 2011
Wednesday, September 14, 2011
Tuesday, August 30, 2011
JE UNAWAJUA WADADA WENYE MVUTO TANZANIA?
Agnes huyu ni mdada wa kipekee ni mzur hakuna
je wajua kama alishawahi kusema kuwa hawezi kutembea kwa daladala
kutokana na uzuri wake?kuwa akisimama lituoni kwasababu ya uzuri wake anapata lift?
je wajua ameshagawa penzi kwa watu mmarufu wangapi?wasiokuwa maarufu wangapi?wenye hela wangapi?wasiokuwa na hela wangapi?
je wajua tabia yake ni nzuri na anafaa kuolewa?
sasa anatoka na kijana mmoja ambaye hana hata jina katika nchi hiii,,,,,,,ukweli jamaa anafaidi tunda lililoumbwa vyema na mungu
kama unajua story zake plz wasiliana nasi kupitia comment hapo chini
Dada anaefuatia ni

Thursday, August 18, 2011
JE UNAWAJUA WADADA WENYE MVUTO TANZANIA?
wa kwanza ni JACLINE WORPER,,,,,,,Huyu mdada ni wa ukweli kwani ana sifa zake zinazo mfanya aishi hapa town,anakizi mahitaji yake kwa uzur wake
,
SIFA ZAKE
Ni mrefu wa wastani
Sio mweusi ni mtoto anang'aa
Amejariwa tako la kukalia asiumie
Anangozi nyororo
Anajipenda sana
Anachagua wanaume wa kuongea nao na kutembea nao
Ukiwa na pesa anakuwa rafiki yako
Anapenda sana kuingiza movie na ndo kazi yake hapa mjini
INAVYOSEMEKANA
Hapa jamani tusilaumiane,
..... Inavyosemekana jack anatembea na mdada mwenzake
.... Inavyosemekana mdada huyu huwa anafulia hadi kufikia kununuliwa vinywaji na wenzake
je wajua mtu gani atafuata baada ya jackline????????????????????

Friday, May 13, 2011
priva akiwa ktk mashindano ya pool na kuwa mchezaji bora no 2
priva mwanzoni akipongezwa na mchezaji wa cbe baada ya kumfunga
pongezi zikiendelea uwanjani hapo
priva akimuelezea refa makosa aliyoyafanya ktk mchezo ulioisha
priva akipewa maelezo na refa
mchezo ulipamba moto
priva akipiga ball ya mwisho kukamilisha ushindi
game ilipamba moto hapo
priva akifanya maajabu kwa mpinzani wake
pongezi tele zilitolewa kwa priva baada ya kushinda mchezo wake na kuingia fainari
ni mmoja wa wachezaji waliokuwa timu moja na priva
baadhi ya wachezaji na washangiliaji wa timu ya chuo cha udom

Sunday, April 10, 2011
MABADILIKO YA KATIBA NCHINI TANZANIA
Katiba ni mwongozo wa nchi yoyote duniani,Katika tanzania ya leo wananchi wake wameona umuhimu wa kuwa na katiba mpya.
MASWALI.....moja....Tutatumia njia gani ili kutengeneza katiba iliyo bora ambayo itakidhi mahitaji ya sasa na ya baadae?pili..... tunawezaje kuwashirikisha wananchi ktk kutengeneza katiba hiyo mpya?
tatu....je kila mtu ataridhika na uundwaji wa katiba hiyo mpya?
MAJBU,kuna njia kuu tatu, ya kwanza kabisa ambayo ni kuu ni CUSTOM,hii ni njia kuu ambayo ilitumika kipindi hicho cha kale,ambapo binadamu wa kale hao waliishi kufuatia misingi yao ya kiutamaduni.mfano wa katiba hiyo ni gintile constitution,binadamu aliishi kiutamaduni zaidi,tunaweza kuitumia njia hii lakini haitakidhi mahitaji ya kipindi hiki cha maendeleo
Pili tunaweza kutumia democrasia kuwa fanya wananchi kushiriki kikamilifu ktk kutengeneza katiba yao wenyewe,
Tukitumia njia nzuri zisizo kuwa na mashaka kisiasa tunaweza kuridhika na tukaishi kwa aman na uoendo bila matatizo
Namna gani tunaweza kuwashirikisha wananchi ktk utengenezaji wa katiba hii mpya?njia nzuri isiyo na mashaka kwetu ni kutumia nja ya constituent assemble,hii in njia nzuri kwani wanainchi wanashiriki moja kwa moja ktk kutengeneza mwongozo wao,wanakaa vikao wao wenyewe na kuamua nini kiwepo nini kisiwepo.
Serikali yetu imetumia mabavu ktk kuamua ni njia gani itumike ktk kuwashirikisha wananchi ktk kutengeneza katiba ya nchi,hivyo ikaamua itumie referendum kuvote mawazo yao(viongozi) wananchi wanakuta maelezo ktk makaratasi na kuchagua hiki kiwepo au kisiwepo.
serikali ilitangaza kuwepo na vikao vya kuwashirikisha wananchi kuunda katiba yao.lakini sehemu zilizo tengwa kufanyia hivyo vikao zilikuwa hazikidhi haja kwani zilikuwa haziwezi kubeba umati wa watu wote,hivyo kukwamisha kazi yote hiyo.
bungeni ni sehemu moja kati ya zilizotengwa,lakini umati ulikuwa mkubwa sana hadi kukatokea fujo kubwa,wananchi wakasema viongozi walijua kuwa watu wagekuja kwa wingi kwanini hawakutenga sehemu kubwa?au wanataka kujadili wao peke yao"?
picha za fujo bungeni

Monday, February 28, 2011
LETS LOOK THE DIFFERENCES BTN US AND THEM

NA TAZAMA HII
je tunaweza wafikia wao kwa maendeleo?inabidi tujipange tujue nini tunafanya,watanzania amkeni wote kwa pamoja tushirikiane kuutokomeza umasikini wetu huu ulio kithiri,
Tuesday, February 22, 2011
PRIVA MTANZANIA: WATANZANIA MPO
PRIVA MTANZANIA: WATANZANIA MPO
HAYA NDIO MAISHA YETU WATANZANI,
maisha yetu yamekuwa ya kutegemea mungu mda wote hatujui kesho kutakucha vipi tunasubiri miujiza ya mungu itusaidie hii ni mbaya zaidi kutembea bila kujua unakoelekea

WATANZANIA MPO
![]() |
HII NDO TOFAUTI AMBAYO HUNIUMIZA NIKITIZAMA MAENDELEO YETU NA MAENDELEO YA YAO |
Ni vipi tutafanya ilii tuwe kama nchi zilizoendelea,matatizo yote haya yanaletwa na uongozi wetu mbaya,pia tamaa za madaraka unamkuta kiongozi anamadaraka zaidi ya moja,na hii hupelekea kushindwa kufanya kazi ipasavyo,niaibu kwa Taifa tangu tupate uhuru maendeleo hakuna hata kidogo.
Friday, February 18, 2011
MABOMU TANZANIA
Nchi ya Tanzania ni miongoni mwa nchi nzuri zenye amani na upendo,tumekuwa tukiishi kwa amani mda wote huo tangu tulipo pata uhuru,
Amani sasa imetoweka kwani kila kukicha raia wanapoteza maisha kwa uzembe wa serikari yetu,uongozi usiotazama mbele kazi yake kubwa ni kutatua matatizo ndani ya chama chao ila sio kutatua matatizo ya nchi yetu,
Mnamo mwaka kama mmoja hivi mbagala ililipuka mabomu ktk kambi ya jeshi huko mbagala,serikali ikazungumzia tu bila kufanya utafiti juu ya mabomu mengine ktk kambi nyingine huu ni uzembe mkubwa wa serikali
Kama serikali yetu ingekuwa inajari wanainchi wake,ingefanya utafiti juu ya kambi nyingine kuhusu kuona kama je kambi nyingine zinamabomu ambayo hayajapitwa na wakati
Sasa Gogo la mboto,kumelipuka tena hii inaonyesha kuwa tunaongozwa na viongozi wasiojua kuangalia matukio na kuyafanyia kazi,tukio la kwanza la mbagala linge washitua serikali na kufanya utafiti yakinifu juu ya kambi zetu za jeshi,
Huu ni uzembe ambayo sisi kama wazalendo wa nchi hii hatuwezi kuvumilia kuona nchii yetu ikipunguza wazalishaji mali wengi kwa makosa ya `uzembe wa serikali yetu.tumechoka kupoteza ndugu jamaa na marafiki zetu kwanini serikali isiweke wataalam wa kuchunguza maswala kama hayo,nchi yetu inakambi nyongi sana je tunazitizama je hizo kambi?
Sasa tujiulize serikali yetu imejipanga vipi kukomesha milipuko hiyo ya mabomu ambayo humaliza wananchi wenzetu?katika hutuba ya rais wetu hakuzungumzia swaala la kutokomeza ulipukaji wa mabomu katika kambi zetu za jeshi,
Itakuwaje kama baada ya mwaka mmoja sehemu itayofuata itakuwa ni lugalo?makongo? masaki?itakuwaje kwa taifa
Serikali yapasa kutambua kuwa mambo haya ya mabomu kuna watu wanaweza kuyaweka yakawa ni mambo ya kisiasa kwani hamna mipango ya kuzuia yasitokee tena.

Thursday, February 17, 2011
WANAMUZIKI WA BONGO
Hii ni maalumu kwa wasaani wa kitanzani ,ni bora kuwa na mawazo kutoka kwa wadau wa mzik na wenye mawazo endelevu kama baadhi ya wasomi,wasomi wengi wanatakiwa wawe na mambo mengi pia wawe na mawzo kama haya
kwanza wasaani ni watu muhimu sana katika jamii yetu,lakini kuttokana na wanavyojiweka ndo tunawashusha ktk jamii yetu.
msaani ni kampuni ambayo ni kampuni endelevu kama akijipanga na kujiwekea malengo,kwanini nasema msanii ni kampuni?
msanii ni kampuni kwa sababu kuu moja tu,msani yeye ndo anatakiwa aajiri watu ila sio yeye aajiriwe,kama tunavyoona wasanii wetu wakiajiriwa na promoters pamoja na ma redio presenters.
msanii makini mwenye kutaka maendeleo anatakiwa aajiri watu ila sio yeye aajiriwe kwa msanii kuajiriwa ni kumnyonya msanii,msani bora anatakiwa anatakiwa aajiri watu wafuatao
msanii anatakiwa aajiri dj wake
msanii anatakiwa aajiri promoter wake
msanii anatakiwa aajiri marketting manager wake
msanii anatakiwa aajiri disigner wake
msanii anatakiwa aajiri mshauri wake
jamani je tanzania kuna msanii mtanzani mwenye vitu hivi,?ni kazi sana lakini mapinduzi ya muziki naamini ipo siku yatakamilika ,,,,,,,,,naamini kama msanii anaetaka kuenderea lazima ajaribu kufuata hivi.
msanii ni kampuni kwasababu anatakiwa awalipe watu wote hao,so lazima watu hao wafanyye kazi nzuri kwa msanii ndo waweze kulipwa na msanii
lakini hata sisi tunatakiwa tuwashauri wanamuzik wetu ili kuleta maendeleo
wasanii wetu wamekosa vitu muhimu sana kama vifuatavyo
ELIMU
hapa ndo tunaongelea kitu kikubwa sana wasanii wetu hawana elimu, wanafanya kazi kwa kubahatisha tu ukiwauliza wanasema ni kpaji,au mziki upo kwenye damu au nimezaliwa nao haya ni majibu ya kitoto sana na hayafai kusikilizwa mbele ya watu.
MTAJI
msanii antakiwa awe na mtaji wa kutosha ili awe bora na aweze kuwalipa watu wake ,wacheza show wake,dj wake nk.
UBUNIFU,
msanii anatakiwa awe mbunifu wa kazi zake ,wengi watanzania wasanii hujtahidi sana kuwa wabunifu lakini kuna wengine sio wabunifu matokeo yake huiga kazi za wengine na hii haipendezi kwa mwanamziki
msanii anatakiwa awe mbunifu kuanzia kwa jina lake mwenyewe,kazi zake,picha zake,blog yake,nk
hii ni kwa wasanii wetu wa kitanzania jamani tuwashauri wasanii wetu

Sunday, February 13, 2011
SIKU YA WAPENDANAO
Siku hii ni siku ya historia inayo husu wapenzi wa wili na mapenzi yao,kiukweli siku hii wengi huitumia kuonyeshana mapenzi yao ya dhati mf,A anamtao out B ,kimantiki out hii haina maana kwani mapenzi ya dhati kama yapo kila siku basi yaonyeshe kila siku kuwa unampenda mtu fulani ,sitafurahia kama ndani ya nyumba tunagombana then siku hii inafika nakutoa out, nakupa mazawadi mengi,alafu siku hii inapita kesho yake tunaanza kupigana tena hii haina maana
kila siku ni siku ambayo unatakiwa kumuonyesha mpenzi wako kuwa unampenda isiwe unanidanganya leo kesho unarudia tabia yako,Siku hii wengi tunaitumia vibaya sana kwani wengi wetu siku hii tunaiweka kama ni siku ya kufanya starehe na wapenzi wetu ,wengine siku hii hupata maumivu kwani huachika na wapenzi wao,wengine hufumania wapenzi wao,
Cha umuhimu kuja hii ilikuwa ni siku ya huzuni ktk historia ya wapenzi wale wawili duniani kwani huwezi ukasherekea harusi wakati kuna msiba nyumbani kwako tusiwe wajinga WATANZANIA WENZANGU.
Mapenzi ya dhati yapo tu,hakuna siku maalum ya kumuonyesha mpenzi wako kuwa unampenda sana kuliko siku nyingine siku hiyo ikipita na mapenzi yanakwisha kabisa.
Wapenzi hebu fikirieni hilo tunasahau kuwa tunaowakumbuka watu waliokufa siku kama ya leo,vipi tunafanya vitu vingine vya ajabu hii ni siku ya huzuni duniani na si kama tunavyoifurahia baadhi yetu

Saturday, February 12, 2011
KWA WASIO MJUA PRIVA, ni mjukuu wa mkulima
Wengi huongea vitu tofauti kuhusiana na kijana huyo, sasa ebu mjueni vizuri mkiwa mnamzungumzia mjue mnaloongea juu yake,
Tuesday, February 8, 2011
KWANINI WASOMI WENGI HUENDA NJE KUFANYA KAZI
Hii ni kwa watanzania mlio nje ya nchi yetu,tulio baki Tanzania tunajua sababu nyingi zinazowafanya muende nje kufanya kazi na kuziacha nchi zenu ktk hali ya kukosa watalam na wasomi kama nyie
SABABU
Zipo sababu nyingi sana mfano, umasikini wa nchi zenu,nhi kama Tanzania inawataalamu wengi ambao wapo njee sababu za wataalam hao kwenda huko ni umasikini uliokithiri wa kitanzani,tujitahidi kuuondoa huu umaskini uliokithiri japo kwa asilimia 40 tu
Serikali mbovu,serikali yetu ni mbovu kiasi kwamba inakuwa haina mikakati madhubuti juu ya swala zima la kuwalipa wageni mishahara mikubwa kuliko wafanyakazi wa ndani hii inawafanya wazawa kujiona hawathaminiwi ndani ya nchi yao ndo huamua kwenda nje kutafuta kazi.
Uchanga wa taifa letu,ndugu zangu wa nje taifa linajitahid kuwapeleka nje kusoma ,lakini mnachukulia uchanga wa taifa letu kama sababu ya kuwafanya msirudi kwenu kufanya kazi,muwe mnarudi kwenu kuinua uchumi wa nchi zenu
umasikini wa nchi yetu ndo hupelekea wasomi kwenda nje
moja ya jengo la chuo cha udom

Saturday, February 5, 2011
UMASIKINI NCHINI TANZANIA
Imesemekana kuwa UMASIKINI wa watanzania haujaanza leo,upo tangu enzi za mababu zetu ,hii ni kutokana na kuwa wazee wetu hawakuwekeza katika ELIMU hivyo watanzania walio wengi hushindwa kujikimu kimaisha kwa sababu hawana ELIMU ya kutosha.
Baadhi ya wasomi wa dunian wamejadili juu ya UMASIKINI na kudai upo umasikini wa
(a)KIPATO
(b)ELIMU
je WATANZANIA tumeandamwa na UMASIKINI wa aina gani?

Subscribe to:
Posts (Atom)